Pages

Subscribe:

Sunday, June 28, 2015

VIDEO YA CHEKECHA CHEKECHUA KUTOKA TAREHE 29 MWEZI HUU

Wakati Mashabiki wana hamu sana ya Video ya Chekecha Ally Kiba kafunguka tarehe rasmi ambayo video ya Chekecha itatoka! Akizungumza katika kipindi cha Bongo Fleva Ali kiba Kasema: "Video inatoka tarehe 29 Mwezi huu Mungu akipanga, tunapanga yetu lakini Mungu nae anapanga yake, ila sisi... tumepanga tarehe 29" Kama alikiba alivyofunguka, kuwa nasi siku ya jumatatu uweze kuwa wa kwanza kuona Video hii mpya.

0 comments:

Post a Comment