Pages

Subscribe:

Wednesday, June 24, 2015

DIAMOND ASITISHA KUPOKEA COLLABLE ZA WASANII WA NIGERIA

Diamond Platnumz sasa ni ‘hotcake’ kiasi cha kuwafanya wasanii wengi wa Afrika kutamani kufanya naye collabo, lakini kwa uamuzi mpya alioupitisha wasanii wa Nigeria ambao hawajafanikiwa kufanya nae wataikosa nafasi hiyo. Platnumz ambaye Jumamosi iliyopita pamoja na msanii wa Afrika Kusini, Donald wameshoot video ya collabo yao mpya, amesema kwa sasa... amefunga milango ya kupokea collabo za wasanii wa Nigeria. Hii inamaanisha zile collabo za wasanii wanaomuomba yeye afanye nao. - “Sababu ya kusimamisha kwa sasa isiwe too much too much “ amesema Diamond kupitia 255 ya Clouds Fm

0 comments:

Post a Comment