Pages

Subscribe:

Saturday, June 13, 2015

DIAMOND AMFUNIKA ALI KIBA KWENYE TUZO ZA MTV

Wakati utajaji wa majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTV Africa ukiendelea, katika hali isiyo ya kawaida mashabiki wa Ali Kiba wameonekana kuzagaa kwa wingi kwenye ukurasa wa Television hiyo pendwa kupendekeza wimbo wa Mwana. Hata hivyo juhudi zao hazikuzaa matunda kwani msanii huyo hajaambulia hata category moja kutokana na... kile kinachosemekana kutotambuliwa na MTV. Msanii Diamond Platnumz ametajwa kuwania category 3 hadi sasa. Tazama hapa walivyokuwa wanaandika kwenye page ya MTV

0 comments:

Post a Comment