Pages

Subscribe:

Thursday, June 25, 2015

ROMA: HUU NI UMASKINI WA AKILI

"WATANZANIA WAKIAMBIWA WAMEONGEZEWA #MSHAHARA WANASHANGILIA SAAAANAAA!! BILA KUJUA KUWA GHARAMA ZA MAISHA ZIMEPANDA PIA!!! (Huu ni Umasikini wa Akili) Mtumishi aliyekuwa analipwa laki 5 kwa mwezi!! Sasa akaambiwa analipwa Laki 7 kwa mwezi atafurahia!! Bila kujua... Gharama za Maisha zimepanda kwa kasi zaidi ya ongezeko la Mshahara wake!!! Ni heri MSHAHARA uwe laki 5 ile ile kisha uwe unauziwa gunia la Mkaa kwa Tsh. 3000/= hadi 5000/=. Kuliko Mshahara wakuambie wameupandisha hadi Laki 7 Halafu Gunia la Mkaa liuzwe kwa elfu 35!!! #HUU_NI...... (Malizia hapo)

0 comments:

Post a Comment