Pages

Subscribe:

Friday, June 19, 2015

DIAMOND AWAJIA JUU WANAO MTUPIA MANENO MTANDAONI

Diamond Platnumz ni moja ya wasanii wenye followers wengi East Afrika na Africa kwa ujumla katika mtandao wa Twitter. Leo katika mtandao wa Twitter Diamond kawatolea uvivu wale wote wanaomtupia maneno mazito katika Mtandao wa Twitter. Diamond Platnumz Ame Tweet "Nikirusha picha niko na mpenzi... najishaua, nikirusha picha za kazi Mshamba.. nipost nini sasa??? Na nya au? " Diamond Platnumz added, Nikirusha picha niko na mpenzi najishaua, nikirusha picha za kazi Mshamba.. nipost nini sasa??? Nakunya au? https://t.co/a7VcpF9QdD — Diamond Platnumz (@diamondplatnumz) June 18, 2015

0 comments:

Post a Comment