Pages

Subscribe:

Monday, June 15, 2015

MKE WA MABESTE AFUNGUKA MAZITO KUHUSU JUX

Baada tu ya Mwanamuziki JUX Kupata Tuzo ya Kili Music aliyopata Kutokana na Wimbo wake wa Sikiii ambao alitungiwa na Mwanamuziki Mabeste mke wa Mabeste aliingia Mtandaoni na Kuandika Haya Hapa Chini akimshutuma JUX kutokutoa Shout out kwa Mtunzi wa Nyimbo hiyo:
'Juma_jux meeen I am so dissapointed wit yah! @mabeste_tanzania aliniacha ndani naumwa akaja studio kukesha na wewe three days kukuandikia SISIKII na Ukweli ni kwamba... hukumpa mabeste 2million alikuambia use me tuu kua umemlipa two million coz alitaka ajitangaze kibiashara akija MTU mwingine kulala aandikiwe amlipe coz he needed money by that time as I was sick.... I was your no.1 fan ndio maana @mabeste_tanzania aliponiambia nijikaze aje studio nilukubali na apart from that I am @mabeste_tanzania Manager! Kwanza kabisa Leo ndo nimeona kua sisikii imeingia kwenye utunzi bora na Ukweli ni si wewe uliye andika hiyo ngoma na cover ya ngoma ilikua mabeste ndo mwandish lakini umeshindwa kumpa haki yake uwaambie kili hiyo ni haki ya mabeste....the bad thing ingine is SISIKII imechukua tuzo umewapa watu S/O umeshindwa kumpa mabeste??? Kama mmezoea mabeste mpole I am sorry Manager Niko serious na kazi na naendelea vizuri narudi mzigoni very soon!!! @juma_jux @juma_jux'

0 comments:

Post a Comment