Pages

Subscribe:

Friday, June 19, 2015

WEMA ATOA SABABU YA KUTO MPIGIA KURA DIAMOND KWENYE TUZO ZA KTMA

Kama unafatilia mtandao wakati wa upigaji wa kura za Tuzo za KTMA2015 mastaa wengi walikuwa wakimsapoti sana Ally Kiba ili aweze Kung'aa katika tuzo hizi , Mmoja kati ya wasanii hao ni Wema Sepetu. Wema Sepetu Akifunguka kupitia 255 ya XXL,Wema alisema kuwa Ali Kiba alimuomba ampigie debe kwenye akaunti yake ya Instagram,kwani hata msanii huyo aliwahi... kumpigia debe alipowania tuzo za Watu ndiyo maana alifanya hivyo. Pia wema aliulizwa kwanini hakumpa sapoti Diamond Platnumz alijibu "*Sina tatizo na Diamond kama angeniomba nimpigie debe Instagram ningefanya hivyo.

0 comments:

Post a Comment