Pages

Subscribe:

Saturday, June 20, 2015

P SQUARE NA MR. FLAVOUR KUFANYA COLLABLE SOON

Kumekuwa na mfululizo wa Collabo kubwa Afrika! Ni juzi tu Kcee amechia nyimbo ambayo kamshirikisha Diamond Platnumz. P Square wamepost katika mtandao wa facebook wakiwaweka watu tayari kwa ajili ya collabo hii ambayo inategemea kufanyika muda si mrefu. Katika Page ya facebook P-Square wameandika... "Yes it's @2nitetflavour ft @rudeboypsquare And @peterpsquare wait for it ". Yes it's @2nitetflavour ft @rudeboypsquare And @peterpsquare wait for it #CapeTown Posted by P-Square- The Official Page on 19 Juni 2015

0 comments:

Post a Comment