Pages

Subscribe:

Monday, June 15, 2015

KILIMANJARO WATOA TAMKO KUSU TUZO ZA MWAKA 2015

Hii Message Inazunguka Mitandaoni: Kilimanjaro Music Awards/Tour 2015 Tunashukuru Kwa Kuweza Kufanikisha Zoezi La Jana Tunapenda Kuwashukuru Wasanii Wote Walioweza Kuhudhuria, Kushiriki Na Kujinyakulia Tuzo Mbalimbali! Tumepata Malalamiko Kuhusu Tuzo Ya Mtumbuizaji Bora Wa Mwaka Wa Kiume... Kwa Maoni Ya Watu Na Mijadala Bado Ni Kuhusiana Na Tuzo Hiyo... Dah Inakuwa Ni Vigumu Kufanya Au Kubadili Maamuzi Kwani Hata Meneja Wa TBL Amesema Ilikuwa Na Makosa... Kwenda Imeshaenda Sasa Tuujenge Mziki Wetu Kwa Kuwapa Sapoti Wasanii Wetu Daimond Platnumz Na Vanesa Mdee Katika Tuzo Za Mtv Mama.

0 comments:

Post a Comment