Pages

Subscribe:

Sunday, June 21, 2015

VIDEO YA DIAMOND YAZIDI KUFANYA VIZURI KIMATAIFA

Diamond Platnumz ni Moja ya wasanii wanaofanya Vizuri kimataifa kwa sasa, pia amekuwa Nominated katika Tuzo za MTV katika Vipengele vitatu ambavyo ni Best Collaboration, Best Live na Best Male. Nyimbo ya Nana ya Diamond Platnumz akimshirikisha Mr.Flavor inaendelea kufanya Vizuri katika Vituo mbalimbali vya Radio na Televisiom. Katika Top 10 za... TraceNigeria , "Nana" ya Diamond Platnumz imeshika namba 3! Diamond katika Mtandao wa Instagram ameandika : "*Thanks God our#Nana Song is Number 3 now on#Africa10 @Trace_inter @tracenigeriaClick the link on my BIO to watch the Video Now!!

0 comments:

Post a Comment