Pages

Subscribe:

Saturday, June 20, 2015

COLLABO NYINGINE KUBWA YA DIAMOND KUTOKA HIVI KARIBUNI

Collabo hii inasubiriwa kwa hamu sana na wapenzi wa Muziki barani Afrika, Diamond Platnumz amekuwa mmoja ya wasanii ambao wamekuwa wakitafutwa sana na wasanii wakubwa kufanya nae Collabo. Diamond Platnumz na Donald wakiwa Metro Fm South Afrika. Donald amezungumzia Collabo hii amesema "Collabo hii itaanzisha safari yangu ya... muziki Afrika kwa sababu nimefanya Collabo na msanii mkubwa, na itamtangaza Diamond hapa Afrika kusini pia itanitangaza mimi Tanzania" Kwa Mujibu wa Donald amesema kuwa Collabo hiyo inategemea Kutoka wiki ijayo na video hii itaanza kufanywa Jumamosi hii.

0 comments:

Post a Comment