Pages

Subscribe:

Tuesday, June 16, 2015

YAMOTO BAND WAFUNGA SAFARI KUELEKEA SA KWA GOD FATHER

Vijana wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido chini ya Director Godfadher.

0 comments:

Post a Comment