Pages

Subscribe:

Wednesday, June 24, 2015

ALI KIBA: KIUKWELI SISAPOTI HIZI TEAM ZA KWENYE MITANDAO

HitMaker wa Single ya Chekecha Ally Kiba amesema hafurahishwi na uhasama uliopo kati yake na mashabiki wa Diamond Platnumz. Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm Ally Kiba amesema: "Unajua sisi ni vioo vya jamii na tunapendwa na watu wengi sana, unapoona mambo yanatokea kama hivyo huwezi kufanya... chochote na mimi siwezi kuingilia swala lolote la mashabiki" Aliongeza "Lakini kiukweli sifurahishwi nalo na kama inawezekana wangeachana nalo, Tusapoti vya kwetu ili tuzidi kwenda mbele zaidi"

0 comments:

Post a Comment