Pages

Subscribe:

Wednesday, June 24, 2015

NAVIO FT MR. BLUE KUTOKA HIVI KARIBUNI

Sio Muda mrefu toka Navio alipofanya Collabo na Izzo Bizness, Collabo nyingine kubwa inayofuata Baada ya Hiyo amemshirikisha Hitmaker wa "Pesa" Mr. Blue. Katika Mtandao wa Instagram Navio kaandika: "The Audio for #Ayaya drops in a few days. Nav X @mrbluebyser1988. Produced by @banostylez. The turn up just got real!!! #AYAYA". The Audio for #Ayaya drops in... a few days. Nav X @mrbluebyser1988. Produced by @banostylez. The turn up just got real!!! #AYAYA A photo posted by NAVIO (@naviomusic) on Jun 22, 2015 at 2:33am PDT Pia Mr.Blue na yeye kaandika haya: "Uganda+tanzania...east africa...

0 comments:

Post a Comment