Pages

Subscribe:

Friday, June 26, 2015

NYIMBO YA SARMY CLEVER YAZIDI KUFANYA VIZURI KIMATAIFA


Nyimbo ya Sarmy Clever yazidi kufanya vizuri mpaka kwenye Radio za kimaita yaendelea kufanya vizuri na kushika namba moja kwenye blog za nchini India.
Sarmy Clever Amepost picha hiyo hapo juu kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya; Ahsante m/mungu hadi blog na redio za nje zinatambua uwepo wangu...
Hii ni redio na blog ya nje nchini india, NISEME imeshika number moja

0 comments:

Post a Comment