Pages

Subscribe:

Tuesday, June 16, 2015

KAULI YA BARNABA BAADA YA KUKOSA TUZO YA MTUNZI BORA KTMA

Hatimae Aliyekuwa Akitegemewa Kupata Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka Kill Awards Mwanamuziki Barnaba Ametoa ya Moyoni Baada ya Kuikosa Tuzo Hiyo:

Barnaba - Nawashukuru watu wangu wote na mashabiki Zangu mlionipiga Kura naamini kila kilichotokea Kimestahiri Kutokana Mimi nampenda mungu na naamini kuna Kitu kinaitwa Wakati au muda na napenda Changamoto maana hii Itafanya... Nifanye Vyema mara mbili ya pale ninapofanyaga Yes Of coz mimi sinaga Team Bali Team yangu ni wale wote wanaopenda Muziki Mzuri nawapenda wote na nawapa Ongera wenzangu wote mlioshinda Bila kusahau kipenzi Changu #bestfemaleperformer and #bestfemaleartist @Vanessamdee Kushinda kwako ni wazi inaonesha wazi kazi nzuri Aya Tunaendelea na kazi Ya kuangusha Vyuma Juu Ya Vyuma na mwaka Huu natoa #Album Ambayo itafanya Yule asiyemwelewa Barnaba ajue na aelewe mwisho nawakumbusha Umoja ni nguvu utengano............. Tusijenge Matabaka Nndugu zangu

0 comments:

Post a Comment