Pages

Subscribe:

Thursday, July 16, 2015

STAA WA BONGO MOVIE RIYAMA ALAZWA

Alhamdulilah sijambo kiasi na mshukuru MUNGU NINA MALARIA WADUDU WAWILI na tumbo la chango chamoto nimekiona kwa muda mfupi tu waungwana wangu mwenye dawa nzuri ya tumbo la chango tusaidiane dah nimebebwa wallah nguvu zote kwisha asante sana kwa familia yangu na kwa... mume Wangu mtarajiwa @leomysteriotz pia shukran kwa Mikumihospital Mungu awajazekheri ishalah Amin duwa zenu vipenzi vyangu Riyama Ally on instagram

0 comments:

Post a Comment