
Maandalizi ya ‘Maulidi’ ya mtoto wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum, Princess Tiffah yanaendelea kufanyika, na shughuli hiyo itafanyika hivi karibuni. Fungua na utazame nini kinaendelea hapa...
![11326014_924315950959615_755102056_n[1]](http://cloudsfm.com/wp-content/uploads/2015/09/11326014_924315950959615_755102056_n1-300x300.jpg)
‘Wanakamati maulidi ya Tz real sweetheart my aunty @princess tiffah… Cc @esmaplatnum @mwengi si ndioooh’.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment