Pages

Subscribe:

Monday, December 28, 2015

PICS: DIAMOND, ZARI, ESMA, AY WALIVYO SHEREHEKEA BOXING DAY KWA PAMOJA

diamond2342
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum alisherehekea siku ya Boxing Day kwa kupunga upepo baharini akiwa na mama mtoto wake, Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ pamoja na dada zake , Esma Platinum na Queen Darleen. Vilevile meneja wa diamond Sallam na staa mkongwe AY walikuwepo kwenye boti ambayo Diamond aliltumia kumpeleka fukwe za mbali. See pics inside...


diaomond82

zari8934

zari334

diamond772 diamond232 zari8923

0 comments:

Post a Comment