Pages

Subscribe:

Monday, December 14, 2015

VANESSA MDEE ASHIKA NAFASI YA PILI KWENYE ORODHA YA WASANII WA KIKE WALIO JUU AFRIKA



12346294_444980479044924_1318155553_n
Vanessa Mdee amekuwa na mwaka wenye mafanikio makubwa kimataifa.

Ndio muimbaji wa kike aliye busy zaidi na show si ndani tu ya Tanzania, bali Afrika nzima. MTV Base wametoa orodha ya wasanii watano walio juu Afrika kwa sasa na hitmaker huyo wa Never Ever akishika nafasi ya pili.

Orodha nzima hii apa...


1. Yemi Alade (Nigeria)
2. Vanessa Mdee (Tanzania)
3. Seyo Shay (Nigeria)
4. Cynthia Morgan (Nigeria)
5. Bucie (Afrika Kusini)

0 comments:

Post a Comment