Pages

Subscribe:

Friday, December 18, 2015

WASTARA AUZA VITU VYAKE VYA NDANI

Inauma sana! Msanii wa filamu ambaye anasumbuliwa na tatizo na mguu, Wastara Juma inadaiwa hali aliyonayo kwa sasa si nzuri na kupata pesa ya matibabu imekuwa ngumu kwake hivyo ameamua auze baadhi ya vitu vyake vya ndani. Ndugu wa Wastara aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini alisema kuwa... msanii huyo anapitia kipindi kigumu kwani anahitaji pesa.

0 comments:

Post a Comment