Pages

Subscribe:

Saturday, December 19, 2015

WITNESZ AZINDUA RASMI VIDEO YA BUKU JERO



Rapa Witnesz anatarajia kumaliza mwaka na zawadi kubwa kwa mashabikiwa wake, video ya rekodi yake ya 'Buku Jero' ambayo ameizindua rasmi jana usiku katika shoo kali ya Friday Night Live.
 
Witnesz amesema kuwa, kazi hiyo imekuwa na visa kibao nyuma yake mpaka kukamilika kwake, ikiwa pia ni uwekezaji mkubwa ambao hata hivyo amegoma kuweka wazi thamani yake akihofia...
kuwatisha wasanii wenzake katika gemu.

0 comments:

Post a Comment