Pages

Subscribe:

Tuesday, December 29, 2015

MR BLUE AIBUKA NA KUDAI KWAMBA DIAMOND PLATNUMZ KAMWIBIA JINA

Mr Blue anadai chake.. kwa mujibu wa Kabayser, jina ‘Simba’ analotumia Diamond sasa kwenye post zake kwenye mitandao ya kijamii alilianzisha yeye wiki kadhaa zililopita baada ya kupewa na mashabiki wake.

Blue ameandika kwenye Instagram:Naikumbuka hii post niliipost miezi saba iliyopita pale watu waliponiita jina la simba…ila inanishangaza kuona... baada ya muda watu wengi wakijiita jina hili …hiii inanionesha kuwa mi ni mbunifu wa hali ya juu..na watu husubiri mimi nifanye ili waige….#mfanowakuigwa$,

Cha kufurahisha zaidi mashabiki wanadai picha aliyopost Blue haikuwa ya Simba bali ni Tiger!!

0 comments:

Post a Comment