Pages

Subscribe:

Saturday, December 19, 2015

HILI NDIYO JINA LA WIMBO MPYA WA BOB JUNIOR ALIOSHIRIKIANA NA DIAMIND PLATNUMZ

Bob Junior Sharobaro


Muimbaji na mtayarishaji wa muziki wa Sharobaro Records, Bob Junior amesema tayari kolabo yake na Diamond imekamilika.

Ameutaja wimbo huo kuwa unaitwa ‘I Am Praying for You. Bob amesema kuwa kazi hiyo imechukua muda mrefu kukamilika kutokana na wawili hao kuwa busy.
 
“Naomba Mungu kazi itoke mwaka huu kwa sababu itakavyozidi kuchelewa itakuwa ni issue nyingine. Kazi imekamilika kwa kiasi chake ndio maana nasema...
itatoka mwaka huu,” amesema.
Bob Junior pia amewataka mashabiki wake kuwa na subira licha ya kuwaahidi mara kadhaa kuachia kazi mpya.

0 comments:

Post a Comment