Pages

Subscribe:

Sunday, December 20, 2015

NISHER AELEZA SABABU YA KUAMUA KUWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE

Muongozaji wa video, Nisher ameweka wazi sababu inayomfanya aweke wazi picha za mahaba akiwa na mpenzi wake katika mitandao ya kijamii. Nisher amesema kufanya hivyo kunamweka mbali na wasichana wengine wanaomsumbua. 

“Naona ni vyema zaidi kuwa wazi na mkweli, inasaidia kupunguza usumbufu,” amesema hivi karibuni. “Ndoa inakuja, ila hamna...
haraka yoyote bado kwa sababu tupo vizuri na mambo mengine taratibu.”

0 comments:

Post a Comment