Pages

Subscribe:

Sunday, December 13, 2015

JUX NA VANESSA MDEE WAFANYA KOLLABO

Jux amesema yeye na mpenzi wake, Vanessa Mdee wamesharekodi nyimbo nne mpya za pamoja. Jux ambaye amachia video ya wimbo wake mpya ‘One more night’ amesema nyimbo hizo zinaweza anza kutoka...
mapema mwakwani.
juma
“Tumerekodi nyimbo kama nne zipo studio. Muda ukifika hata mwakani zitatoka. Management ya Vanessa ikiwa tayari kutoa na management yangu ikisema tayari tutoe tutashoot video na baadaye utatoka,” Jux amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio.

0 comments:

Post a Comment