Pages

Subscribe:

Tuesday, December 15, 2015

DIAMOND NA MAFIKIZOLO WAANZA KUSHOOT VIDEO YA WIMBO WAO

Collabo ya msanii wa Afrika Mashariki, Diamond Platnumz na wasanii wakongwe wa Afrika kusini, Mafikizolo imeanza kunukia. Video ya wimbo huo unaoitwa ‘Colours of Africa’ ambao pia msanii mwingine wa Afrika kusini, Dj maphorisa ameshirikishwa imeanza kushootiwa jana Afrika kusini. Memba wa kundi la Mafikizolo, Theo ameandika...

djmaphorisa-1450148629294

“South africa (Mafikizolo) Dj maphorisa (South africa) Tanzania (Diamond Platnumz) collaborate in a song colours of africa, shooting a music video today”
djmaphorisa-1450148730946

djmaphorisa-1450148743622
Wimbo huo  ulirekodiwa tangu mwezi june mwaka jana 2014.

0 comments:

Post a Comment