Pages

Subscribe:

Monday, December 28, 2015

HIVI NDIVYO LULU ALIVYO SHEREHEKEA X-MAS KWAO KILIMANJARO

lulu33
Staaa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ilimbidi afunge safari hadi mkoni Kilimanjaro kwenye kula siku kuu ya Krismasi mwaka huu.
Akiwa yeye pamoja na wazazi wake wote wawili Lulu ameshare nasi picha hizi kupitia ukurasa wake mtandaoni. See pics here...

 
“Niko Na Baba Mkweeee ooopssss I mean Baba Angu hadi vidole sikuhizi havina mfupa”- Lulu aliandika kiutani kwenye picha hiyo hapo chini akiwa na baba yake.
“Niko Na Baba Mkweeee🙆ooopssss I mean Baba Angu😁🏃hadi vidole sikuhizi havina mfupa-L
😁“Niko Na Baba Mkweeee🙆ooopssss I mean Baba Angu🏃hadi vidole sikuhizi havina mfupa”-Lulu

0 comments:

Post a Comment