Pages

Subscribe:

Tuesday, March 29, 2016

BABU TALE: NIPO TAYARI KUMSAIDIA MSANII YEYOTE ANAYETAKA KUCHA MADAWA YA KULEVYA

Meneja wa Diamond Babu Tale katamka kuwa yuko Tayari kumsaidia msanii yeyote yule ambaye yuko tayari kuacha madawa ya kulevya, kasema milango iko wazi kama ambavyo kamsaidia Chid Benzi ambaye kapelekwa sober House Bagamoyo. Pamoja na hayo kadai haikuwa kazi rahisi kwa Chid Benzi maana pamoja na kumpeleka sober bado alikua "akistua" njiani, njia nzima alikua... akivuta hii midude. Mungu ambariki sana huyu jamaa

0 comments:

Post a Comment