Pages

Subscribe:

Friday, March 11, 2016

NIKKI MBISHI AMCHANA YOUNG D KUHUSIANA NA MATUMIZI YA UNGA

Katika pitapita zangu Insta leo, nimekutana na picha ya Nikki mbishi aliyopost leo akiwa na Becka Title wanakula ugali. Caption ya picha hiyo inasema hivi "Huwezi kuwa mjanja ikiwa unapotea kwa madawa ya kulevya, halafu ndugu zako na washkaji zako wa karibu wanakuchana unawaona...
masnitch. Oya baba Marietha @beckatitle_tz tule ugali kuku bila kusahau maji mengi. Acha wazee wa #UjanjaUjanja wapotee.

Hii inaashiria kuwa tayari Beckatitle ashammwagia Nikki Mbishi ubuyu kuhusu Young Dee(Mzee Wa UjanjaUjanja) kuhusu kupotea kwake na madawa. Its the high time dogo abadilike awachane na madawa.

0 comments:

Post a Comment