Pages

Subscribe:

Thursday, March 24, 2016

DOGO JANJA ATOA ZAWADI YA GARI KWA WAZAZI WAKE

Janja2

Baada ya Dogo Janja kununuliwa gari mpya aina ya Mercedes Benz na bosi wake Madee na kumfanya kuwa na magari mawili, amedai gari lake la zamani anawapelekea wazazi wake.


Akiongea hivi karibuni, Dogo Janja alisema kwa sasa hawezi kumiliki magari mawili hivyo gari lake la zamani analipeleka kwa wazazi wake. “Sasa hivi na magari mawili ila ile gari ya zamani itaenda nyumbani kwa wazee ili...
na wao wakakimbize,” alisema Dogo Janja.
 
Rapa huyo kwa sasa anafanya vizuri na video yake ya wimbo My Life.

page-3

Hii ndio Mercedes Benz yake mpya.

0 comments:

Post a Comment