Pages

Subscribe:

Saturday, March 26, 2016

MASHABIKI WACHUKIZWA NA KAULI YA ZARI... WADAI AMEWAKEJELI MASKINI

Staa huyo amepost picha hiyo juu na tafsiri yake kwa maneno hayo ni:
Watoto wangu wameniuliza, kwanini kila mtu amechukia? Nimewaambia tuna vitu ambavyo hawana. Wakati mnachukua, mimi naenda mall, kumwaga fedha. Naweza, huwezi...
Lakini pia aliweka caption isemayo: Baadhi yenu hamtaelewa hili lakini ni sawa. Ninawajibika kwa ninachoandika, na sio unavyokielewa.


Hilo limeonakana kuwakera wengi, wakiwemo mashabiki wake. Baadhi waliongea mambo mazito kiasi cha kumfanya awajibu pia.


Well, good news ni kubwa ex wake, Ivan, amewachukua wanae na kuwapeleka kwenye kisiwa cha maraha cha Ibiza kula pizaa! So waswahili wanasema hiyo ni ngoma drooo… Pesa inaongea!!

0 comments:

Post a Comment