Pages

Subscribe:

Wednesday, March 9, 2016

JINSI WEMA ALIVYOPAMBA MSAFARA WA KUMPOKEA LULU

Kwa Mara ya Kwanza toka habari za ujauzito wa Wema kutoka Jana Amejitokeza hadharani kumpokea rafiki yake Lulu Michael Alipowasili kutoka Nigeria akiwa na tuzo mkononi. Wema Alipendeza Sana na kuonekana mwenye furaha muda wote wa msafara. Tazama hapa...

0 comments:

Post a Comment