Pages

Subscribe:

Wednesday, March 16, 2016

MAMA DIAMOND ATOBOA SIRI YA ZARI KUTOISHI BONGO

Mama mzazi wa staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ametoboa siri ya mkaza mwanaye, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kushindwa kuishi Bongo na badala yake kukimbilia nchini Afrika Kusini ‘Sauz’. Sandra au Mama D aliyasema hayo katika mahojiano maalum juu ya uhusiano wake na Zari kufuatia tetesi kuwa hawaivi ndipo akaweka mambo sawa.

Mama D alisema kuwa yeye na Zari wapo vizuri lakini kinachomfanya mkwewe huyo kushindwa kuishi naye Bongo ni...
kutokana na biashara zake kudoda nchini Afrika Kusini.

0 comments:

Post a Comment