Pages

Subscribe:

Saturday, March 26, 2016

HUYU NDIYO MTANZANIA ALIYE KULIA KTK KLABU YA LEICESTER CITY NA ANACHEZA LIGI NCHINI ENGLAND

Adi Yussuf ni mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya daraja la pili Uingereza kwenye klabu ya Mansfield Town. Adi pia amekulia katika klabu ya Leicester City ila kwa sasa yupo Tanzania kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Chad wa kuwania kufuzu michuano AFCON 2017 Gabon. Tazama interview aliyo fanyiwa baada ya kutua nchini.


Watch Here



“Ni kweli mwanzo ilikuwa ngumu kwa klabu yangu ya Mansfield Town kuniruhusu nije Tanzania kwa sababu ilikuwa tunahitaji kupandisha timu, ila sasa wameniruhusu nije kuchezea timu yangu ya taifa” >>> Adi Yussuf

0 comments:

Post a Comment