Pages

Subscribe:

Thursday, March 17, 2016

MOVIE YA MAMA KIJACHO YABADIRI SURA YA TUNDA MAN

tunda man
Tunda Man amebadilisha muonekano wake kwaajili ya Movie ya Mama kijacho, huku akiachia ndevu kama Rick Rose na leo siku ya Jumatano ndiyo wamemaliza kushoot na walikuwa kambini kwa wiki 1 hivi kukamilisha movie hiyo ambayo kwenye muvi hiyo imemhusisha msanii mrembo wa Bongo Movie...
Riyama Ally pamoja na Comediani Mboto.

Pia Tunda Man alishawai kuulizwa na ‘don’ mmoja hivi hapa bongo kuwa anataka anunuliwe nini na akajibu anataka BASTOLA na ndiyo ile unaiona alikuwa anavimba nayo.
TUNDA231

0 comments:

Post a Comment