Pages

Subscribe:

Thursday, March 17, 2016

MWANAMUZIKI WA UGANDA KUHAMIA TZ ILI ASAJILIWE NA WCB YA DIAMOND

Msanii wa Uganda anayefanya muziki wa rnb ‘Aziz Azion’ ameripotiwa kuhamia Tanzania ili kufanya wimbo na Diamond Platnumz na kujiunga na lebel ya Diamond Platnumz ya Wasafi records. Mshkaji wa karibu wa Aziz amesema kama jamaa aki saini na Wasafi itabidi ahamie Tanzania.

0 comments:

Post a Comment