Pages

Subscribe:

Wednesday, March 23, 2016

DOGO JANJA AMJIBU YOUNG D BAADA YA KUONA MANENO YANAYO MHUSU BABU TALE INSTA

Headlines za mkali wa Hip Hop, Chid Benz bado hazikwisha kwenye mitandao ambapo leo March 22, 2016  Dogo Janja alipost kile ambacho hakupendezwa baada ya kuona maneo ya instagram ya Young Dee kuhusu Babu Tale na Chid Benz.
 
Young Dee aliandika:
Baada ya video kusambaza na kuanza kuchukua headlines ikiashiria Babu Tale amejitosa kumsaidia rapper huyo Young Dee aliandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram‘‘Challenge kwako blaza hii ni aibu sidhani Kama...
kuna die hard fan wa ukweli wa chidi Kama ataipenda hii Au ata Kama ni kweli una mpango wa kumsaidia kama manager bora Afrika..! Nimeiona hii nmeshtuka tale! Babu Tale umeniangusha Kwa hili.. Starting to heal but kill the best rapper mbele ya macho ya watanzania’  

Maneno hayo yalionekana kumkwaza Dogo Janja ambaye naye kupitia ukurasa wake wa instagram naye alipost kile alichokiandika Young Dee na kusema…’Young Mpengaji… Mtazidi Kupenga Kisa Stress Mpaka Totoro..Nawanyima Chakula Mwaka huu Mule Magodoro! Ukiona Mwenzako Ananyolewa Na Wewe Tia Maji’ – Dogo Janja

0 comments:

Post a Comment