Pages

Subscribe:

Friday, March 11, 2016

NAY WA MITEGO: GIGY HANA SURA NZURI ILA AMEJAALIWA

Kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa video Queen anayetamba kwa sasa Gigy Money kwenda kwa rapper wa Shika adabu yako Nay wa Mitego kuhusiana na uhusika wake kwenye video ya wimbo huo.

Gigy ameweka wazi kuwa alipewa Shilingi elfu ishirini tu kutoka kwa rapper huyo kama malipo ya kutokea kwenye video hiyo na pia amelalamika kuwa walikubaliana yeye aonekane kwenye...
kipande kinachohusu wanachuo lakini baadala yake ameoneshwa kwenye kipande kinachohusu mwanamke mwenye sura mbaya.

0 comments:

Post a Comment