Pages

Subscribe:

Thursday, March 17, 2016

RAYMOND ATAMBULISHWA RASMI KWENYE LEBO YA WASAFI

Kipaji cha Raymond kilianza kuonekana mwaka 2011 baada ya kushiriki kwenye mashindano ya FreeStyle mkoa wa Mbeya na kuwa mshindi wa kwanza, alipokuja Dar akaibuka pia mshindi ndipo TipTop Connection ilipomchukua na kuwa chini yake, Raymond ameshaonekana kwenye majukwaa mengi hasa kwenye show za Madee, Kutokana na ukaribu wa Lebo ya... TipTop Connection na WCB, Menejimenti zimekaa chini na kukubaliana kumtoa kupitia lebo ya WCB. Sasa Jana alitambulishwa rasmi ktka vituo mbalimbali vya redio.

0 comments:

Post a Comment