Pages

Subscribe:

Friday, March 11, 2016

HUKI NDICHO ALICHO KIVUNA DIAMOND KWENYE SHOW YA DUBAI

Diamond ameamua kuwaonesha mashabiki wake madolari aliyoyachuma Dubai wiki hii. Ni mengi!!Staa huyo amepost burungutu sita zilizoshiba za dola mia mia zikiwa juu ya gitaa.

0 comments:

Post a Comment