Pages

Subscribe:

Thursday, March 24, 2016

DIVA KUFANYA INTERVIEW NA BIG SEAN WA MAREKANI

Diva


Katika siku za hivi karibuni mtangazaji wa Clouds FM, Diva amekuwa akifanya mahojiano na wasanii wengi wa nje, kitu ambacho ni nadra kwenye vituo vingi vya redio.

Ameshafanya mahojiano na mastaa kama Iyanya, Tekno, Seyi Shay na wengine.
Na sasa amedhamiria kufanya na wasanii wakubwa zaidi wa Marekani. Diva amesema atafanya interview na rapper wa Marekani, Big Sean, “Was really hard to get him to have interview with me , finally ama Be...
having @bigsean next week for the interview #levelsbabulevels stay tuned,” ameandika Diva.
 
Big Sean ni miongoni mwa rappers wanaokubalika nchini Marekani. Yupo chini ya label ya Jay Z, Roc Nation na miongoni mwa ngoma alizofanya na zikahit ni My Last aliyomshirikisha Chris Brown.

0 comments:

Post a Comment