Pages

Subscribe:

Thursday, March 24, 2016

VANESSA MDEE KUACHIA NIRONGE SIKU YA LEO

1739411_726651734138327_675122989_n


Ni kitu baada ya kitu. Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake ‘Never Ever’, Vanessa Mdee anarudi tena na ngoma mpya aliyoipa jina ‘Niroge.’

Wimbo huo utatoka Alhamis hii. Ni wimbo mwingine uliotayarishwa na Nahreel katika studio za The Industry. Utapatikana kwenye album yake ya kwanza, Money Mondays.

0 comments:

Post a Comment