Pages

Subscribe:

Thursday, March 24, 2016

YOUNG DEE NA TUNDA WAMWAGANA KISA DOGO JANJA

Penzi kati ya Hitmaker wa SIO MCHOYO YoungDaresalama na mpenz wake #Tunda lazidi kuwa matatan baada ya YOUND DEE KUZIFUTA PICHA ZOTE ZA KIPUSA huyo kwenye insta yake Matatizo yalianza, baada ya TUNDA kupost picha akiwa na dogojanjatz ambaye amemdiss DEE kwenye... track yake mpya MY LIFE AMBAYO INAFANYA VIZULI je unahisi nani kakosa ... Young Dee au TUNDA?

0 comments:

Post a Comment