Pages

Subscribe:

Thursday, February 8, 2018

ZARI ATUMIA ZAIDI YA SH MILIONI 6 KUNUNULIA VIATU VYA WATOTO



Zari the boss lady siku kadhaa zilizopita alikuwa Dubai kwaajili ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya rafiki yake  Zowda Mkandila  akiwa katika matembezi Dubai, Zari aliamua kutumia zaidi ya Milioni 6 kwa ajili ya kuwanunulia watoto wake viatu aina ya Balenciaga.

Kiatu aina ya Balenciaga alichonunua Zari kwaajili ya watoto wake kinauzwa Dola 692 za Kimarekani ambapo ni zaidi ya shilingi Milioni...
  1.5 za Kitanzania kwa pair moja ya kiatu.




Kupitia Snapchat account ya Zari aliandika “Ni kwa ajili yangu na watoto wangu tutavivaa wote vikiwa vyeusi” hiyo ni baada ya Zari kununua viatu hivyo ndio akaamua kuvipost Snapchat.

0 comments:

Post a Comment