Pages

Subscribe:

Wednesday, February 28, 2018

KAMANDA WA POLISI KIGOMA ATHIBITISHA AJALI YA TRENI KUTOKEA

Leo February 28, 2018 Treni ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoani Dodoma kuelekea Kigoma imepata ajali katika Kijiji cha Mpeta wilaya ya Uvinza.

Ajali hiyo imesababishwa na kichwa cha treni kuacha njia na kusababisha mabehewa mawili kuanguka katika dimbwi dogo la maji, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Martin Othieno amesema...
hadi sasa hakuna taarifa za kutokea kwa vifo wala idadi ya majeruhi.

0 comments:

Post a Comment