Pages

Subscribe:

Tuesday, February 20, 2018

CHRIS BROWN AONYESHWA KUGUSWA NA BIRTHDAY YA RIHANNA

Mwaka 2005 staa wa muziki kutokea Marekani Chris Brown pamoja na Rihanna ambao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi mpaka pale walipoachana mwaka 2009 kutokana na tuhuma za Chris Brown kumpiga Rihanna.

Ila mwaka 2013 tetesi ziliendelea kuwa wawili hawa walionekana kurudisha penzi lao  ila kwa upande wao hawakusema chochote ambapo hadi sasa kila mtu...
anaendelea na maisha yake.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Chris Brown ameonyesha penzi kwa Rihanna baada ya miaka mingi kupita ambapo amemtakia heri ya siku ya kuzaliwa.



“HAPPY BIRTHDAY @badgalriri “

0 comments:

Post a Comment