Pages

Subscribe:

Wednesday, February 28, 2018

S2KIZZY: QUICK ROCKA HANIPANGII CHA KUFANYA ANASIKILIZA NINACHO MWAMBIA

Producer S2kizzy ambaye anafanya kazi kwenye studio ya SMG inayomilikiwa na msanii Quick Rocka, S2kizzy amesema kwamba yeye akiwa ofisini Quick Rocka hamuingilii licha ya kuwa Boss katika studio hizo amekuwa akimsikiliza Producer wake S2kizzy nini anatakiwa afanye wakati wakirecord.

S2kizzy amemuelezea Boss wake Quick Rocka kama mtu mwelewa na amemkabidhi studio kwahiyo akienda anaenda kama msanii na sio boss pamoja na hilo...
amezungumzia ngoma yake mpya aliyofanya na Nasty C kutokea South Africa ikiwa pamoja na ngoma aliyofanya na Casper Nyovest huku akigusia kuwa yeye ndiye Producer aliyemkutanisha Casper na Vanessa kwenye wimbo wake mpya.

0 comments:

Post a Comment