Pages

Subscribe:

Wednesday, February 28, 2018

JUX AIBUKA NA MAVAZI YA MIAKA YA 80 MPAKA 90

Ukiongelea masuala ya wasanii kwenda na fashion za mavazi,  style za kunyoa  basi kila msanii  huwa ana mtindo wake katika suala hilo ambapo wasanii wengi hupenda kuangalia fashion katika ishu nzima ya mavazi.

Katika kundi la Mastaa bongo Jux ni mmoja kati ya wasanii wanaopenda kwenda na fashion katika kupangilia mavazi yao kulingana na sehemu husika na upenda kwenda na fashion na sasa inaonekana wanavutiwa zaidi na...
fashion za miaka ya nyuma 80 na 90.



Kupitia ukurasa wa instagram wa Jux amezidi kuthamini mavazi ya miaka ya nyuma ambapo kam-post Legend wa muziki wa Pop marehemu Michael Jackson ambaye pia swagg zake katika mavazi  alikuwa akivaa mavazi ya zamani kama suruali kubwa (Bwanga) lakini pia ametupia picha zake akiwa amevaa mavazi ya zamani (Old Fashion)


W

0 comments:

Post a Comment