Pages

Subscribe:

Friday, February 23, 2018

ED SHEERAN ATOA MAJIBU BAADA YA KUONEKANA NA PETE YA NDOA


Pete aliyovaa msanii wa muziki Ed Sheeran katika usiku wa ugawaji wa tuzp za BRIT Awards 2018, zilizofanyika nchi Uingereza usiku wa tarehe 21, (Jana) imezua utata wa mahusaino aliyonayo kwa sasa.

Wakati amahojianao ya kiendela uapnde wa Red Carpet na kituo cha runinga cha Sky News ndipo shabiki aitwaye  Key alipoingia na kuhoji kuhusu pete aliyovaa  Ed Sheeran ni nini? bila kupepesa macho msanii huyo  akajibu kuwa...
si ya ndoa bali ni ya uchumba.

“It’s an engagement ring – because I feel like…I don’t know, I feel like it’s good to both do things,” alijibu Ed Sheeran.

0 comments:

Post a Comment